MAJALIWA: TUTAENDELEZA MAHUSIANO NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA MOROCCO.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) litaendelea kuimarisha mahusiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco ili kukuza kiwango cha mpira huo nchini .  Amesema hayo jana (Alhamisi Julai 15, 2021) baada ya kutembelea Ofisi za Shirikisho hilo na eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu